资讯

Mashindano hayo yataendelea leo jioni ikizikutanisha timu za kundi E ambapo Welezo City itapambana na Real Nine FC huku ...
Inonga aliyetambulishwa ndani ya FAR Rabat Julai 13, 2024, amesitishiwa mkataba, kutokana na ripoti ya kocha Mreno Alexander Santos. Beki huyo wa zamani wa Simba, hakuwa na maisha mazuri ndani ya timu ...
NDO hivyo. Brentford imeshamtambua mchezaji ambaye inamtazama kuwa mwafaka wa kuja kuchukua mikoba ya Bryan Mbeumo, ambaye ...
TIMU mbili za Jeshi, JKT Tanzania na Mashujaa zinamfuatilia kwa ukaribu kinda wa Yanga, Isack Mtengwa na kama mambo yakienda ...
UONGOZI wa Dodoma Jiji, unaendelea na maboresho ya kikosi na umeanza mchakato wa kuongeza mikataba mipya kwa wachezaji ...
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ usiku wa Julai 14, 2025, alitumia muda huo ...
KIUNGO fundi wa boli, Santi Cazorla amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea klabu yake ya ujanani Real Oviedo akiwa na ...
Kuna barua zinazunguka kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha mawasiliano kati ya ofisi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ...
KINDA wa Barcelona, Lamine Yamal ameripotiwa kufanyiwa uchunguzi na mamlaka za usalama baada ya kuripotiwa kuajiri mbilikimo ...
KOCHA Louis van Gaal amefichua ameshinda vita ya kumbana na maradhi ya saratani baada ya kudai sasa hana tena tezi dume.
TAARIFA zinabainisha kuwa, JKT Tanzania imefanikiwa kunasa saini ya kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kwa kumpatia ...
STEIN Warriors na Tausi Royals zimeonyesha makali katika Ligi ya Kikapu Dar es Salaam kwa kuibuka na ushindi katika michezo ...