Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limethibitisha kuuawa kwa wanajeshi wake wawili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
*Ni katika urejeshaji wa mikopo Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni ...
Kwa siku mbili mfululizo Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa 19 wa Shirikisho la Wadau wa Korosho Afrika (ACA) ...
“Mkutano wa 19 wa Korosho Afrika utakuwa jukwaa muhimu kwa wakulima, wawekezaji, na wadau wa sekta ya kilimo cha korosho kujadili mbinu bora za kuimarisha sekta hii. Tanzania ni miongoni mwa ...
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla amesema Soko la kisasa la Chuwini litaleta ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
KLABU ya mchezo wa kriketi nchini, Aga Khan SC, imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya HÄFELE East Africa Limited kwa ...