MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema kuwa tuzo ya ‘The Gates Global Goalkeeper’ aliyoipata Rais Samia Suluhu Hassan imeleta heshima kwa Halmashauri ya Jiji, Mkoa wa Dar es salaam na taifa ...
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ...