Safari za anga za ndege kubwa katika Kiwanja cha Ndege cha Iringa zinatarajiwa kurejea tena rasmi Februari 22 mwaka huu, baada ya kusitishwa kwa zaidi ya miaka nane ili kupisha upanuzi na ukarabati wa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na ...
MWANA wa Mfalme Rahim Al-Hussaini ameteuliwa kuwa Imam wa 50 wa madhehebu ya Ismailia kufuatia kifo cha baba yake Mtukufu Aga ...
MTANGAZAJI mkongwe wa Kenya, Leonard Mambo Mbotela, amefariki dunia. Mkwe wake, Anne Mbotela, amethibitisha habari za kicho ...
Nae, Mjiolojia Abraham Nkya akizungumza kwa niaba ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Njombe, amesema mgodi huo wa MILCOAL ambao ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema kuwa tuzo ya ‘The Gates Global Goalkeeper’ aliyoipata Rais Samia Suluhu Hassan imeleta heshima kwa Halmashauri ya Jiji, Mkoa wa Dar es salaam na taifa ...
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amemkingia kifua nyota wake, Ladack Chasambi kwa kusema anatakiwa kusaidiwa na ...
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mkabuye iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wametoa shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu ...
OFISA Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ameweka wazi dau la mshambuliaji wa klabu hiyo Clement Mzize anayewindwa na ...
Kuanza mwaka mpya ni hatua muhimu inayokuja na matumaini mapya na fursa za kuleta mabadiliko katika maisha yetu.
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ...
WATAALAMU wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果