WIKI iliyopita Singida Black Stars iliripoti kuwa imemuuza mshambuliaji wake Mtanzania Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kwenda Wydad ...
Kocha Mkuu wa Wydad, Rulani Mokwena, ameieleza Bodi ya Wakurugenzi wa timu hiyo kuwa anawahitaji wachezaji hao ili kuongeza nguvu katika kikosi chake. Mokwena alianza kuvutiwa na wachezaji hao tangu ...