Ikulu ya Marekani imefuta kibali cha mwandishi wa habari wa kituo cha CNN saa chache baada ya majibizano kati yake na Rais Donald Trump. Mfanyakazi wa Ikulu alijaribu kunyakua kipaza sauti kutoka ...
Watanzania ambao hawatakuwa wamepata pasipoti za kielektroniki kufikia mwisho wa mwezi huu hawataruhusiwa kusafiri nje ya nchi. Kulingana na taarifa iliotolewa na msemaji wa idara ya uhamiaji Ally ...