资讯

Inonga aliyetambulishwa ndani ya FAR Rabat Julai 13, 2024, amesitishiwa mkataba, kutokana na ripoti ya kocha Mreno Alexander Santos. Beki huyo wa zamani wa Simba, hakuwa na maisha mazuri ndani ya timu ...
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ usiku wa Julai 14, 2025, alitumia muda huo ...
Kuna barua zinazunguka kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha mawasiliano kati ya ofisi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ...
TAKRIBANI siku 15 zimekatika tangu kufunguliwa kwa dirisha la usajili hapa nchini, mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC wameshtukia jambo na kuamua kuchukua hatua ...
KAMA kuna kitu ambacho mashabiki wa Yanga wanapaswa kukifurahia, basi ni uamuzi uliotolewa juu ya nyota wao, Maxi Nzengeli ambaye amekuwa akifukuziwa na wapinzani wao, Simba na Azam. Ipo hivi; ...
KIUNGO fundi wa boli, Santi Cazorla amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea klabu yake ya ujanani Real Oviedo akiwa na ...
NDO hivyo. Brentford imeshamtambua mchezaji ambaye inamtazama kuwa mwafaka wa kuja kuchukua mikoba ya Bryan Mbeumo, ambaye ...
KOCHA Louis van Gaal amefichua ameshinda vita ya kumbana na maradhi ya saratani baada ya kudai sasa hana tena tezi dume.
KINDA wa Barcelona, Lamine Yamal ameripotiwa kufanyiwa uchunguzi na mamlaka za usalama baada ya kuripotiwa kuajiri mbilikimo ...
TAARIFA zinabainisha kuwa, JKT Tanzania imefanikiwa kunasa saini ya kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kwa kumpatia ...
TIMU mbili za Jeshi, JKT Tanzania na Mashujaa zinamfuatilia kwa ukaribu kinda wa Yanga, Isack Mtengwa na kama mambo yakienda ...
BAADA ya Simba Queens kumpa mkono wa kwaheri kipa Gelwa Yona, inaelezwa Mashujaa Queens ipo kwenye hatua nzuri ya kumalizana ...