资讯
DAR ES SALAAM: SERIKALI imetangaza kuwa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 yamefikia ukingoni, baada ya kupitia ...
Mkurugenzi na mbeba maono wa tuzo hizo, Dk Christine Mbelwa, amesema lengo ni kuwatambua wanawake walioacha alama isiyofutika ...
Aidha, askofu Ruwa’ichi amewapa hati nne ikiwemo ya dara la upadri, hati ya kuwaruhusu kuwaganga watu kwa njia ya Kristu kwa njia ya sakramenti, leseni ya kufungisha ndoa na miongozo inayowahusu ...
“UKIZUNGUMZA na mtu kwa lugha anayoielewa, hiyo inajikita akilini mwake. Ukizungumza naye kwa lugha yake, hilo linaingia ...
“Tunashirikiana na kituo cha PPP kupitia usimamizi wa Mkurugenzi Mtendaji, David Kafulila ambaye ametupatia ushauri na ...
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania inang’ara katika biashara duniani. Dk Mwinyi alisema hayo wakati ...
Aidha, ilieleza sababu kufuta kwa matokeo ya wanafunzi 71 kuwa ni udanganyifu uliofanyika wakati wa mtihani baada ya kubaini ...
Amesema Wizara ya Nishati kupitia taasisi zilizopo chini ya wizara zimekuwa zikitekeleza kwa vitendo ajenda hiyo kuunga mkono ...
DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Kepteni Hamad Bakar Hamad (wakwanza kulia) ...
Ussi amesema ulaji wa vyakula sahihi utawezesha wananchi wanaoshi pembezoni kuondokana na udumavu kwa watoto ikiwemo kutumia tunda la britruti ili kuongeza damu pamoja na maofisa lishe wilaya ya ...
Mkuu wa Wilaya Kigoma, Dk Rashid Chuachua amesema hayo wakati Benki ya CRDB kupitia programu ya utoaji mikopo ya asilimia 10 ...
ARUSHA: MKURUGENZI wa Jiji la Arusha, John Kayombo amezitaka klabu na vyama vya michezo kuwasilisha mipango kazi yao ili ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果