资讯
Kisiwa cha Tiwai, nchini Sierra Leone, kimewekwa kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia wa UNESCO siku ya , Julai 13, wakati wa ...
WIZARA ya Afya imesema watu wawili wamethibitika kuwa na ugonjwa wa Homa ya nyani nchini. Taarifa ya Waziri wa Afya Jenista Mhagama jana ilisema wizara ilipokea taarifa za wahisiwa hivyo kuchukua ...
Shirika la Afya Duniani WHO leo limeitisha mkutano utakaojadili njia za kuhakikisha mgawanyo sawa wa vipimo, matibabu na chanjo za ugonjwa wa homa ya nyani,mpox.
WADAU wa afya wameshauri jamii kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa homa ya nyani kwa kula vyakula vyenye kuongeza kinga ya mwili na kuepuka kugusana. Ushauri huo umekuja ikiwa ni takribani wiki ...
Homa ya nyani, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya nyani na dalili zake ni pamoja na kutokwa damu’ Licha ya ugonjwa huo kuenea kwa njia ya kama vile kugusana moja kwa moja na mtu iliyeambukizwa, ...
Mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na wataalamu wa afya wana wasiwasi kwa sababu idadi ya wagonjwa wa Ndui ya nyani, ambao pia huitwa Monkeypox, inaongezeka. Zaidi ya wagonjwa ...
Wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Oxford wameunda aina mpya ya programu ya akili bandia inayoweza kutambua na kufuatilia nyuso za sokwe mmoja mmoja wanaoishi porini. Programu hii mpya itasaidia ...
Nyani na tumbili wanaokula mahindi machanga na mifugo wamegeuka kero katika Kitongoji cha Nyawenda, Kata ya Makuyuni, Wilaya ya Moshi na kuwalazimisha wananchi kuyakimbia mashamba yao.
DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amevitaka vyuo vinavyotoa elimu kuhusu masuala ya Ustawi wa Jamii nchini vifanye mapitio ya mitaala ili iendane na wakati na itoe majibu kwa changamoto za ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO, liko kwenye mchakato wa kubadilisha jina la ugonjwa wa ndui ya nyani au Monkeypox.
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na maneno mengi kuhusu ugonjwa ambao si mgeni, lakini ambao ulikuwa haujasikika sana, hasa kwa vile ulikuwa umeenea katika nchi chache za bara la Afrika na sasa ...
Mkuu wa shirika la afya ulimwenguni WHO kanda ya Ulaya Dr. Hans Kluge, ameonya kwamba visa vya homa ya nyani vimeongezeka mara tatu ndani ya wiki mbili zilizopita Ulaya huku Afrika ikiuchukulia ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果