Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amesisitiza Jumatano kuwa wanajeshi wake wanapambana vikali kurejesha maeneo yaliotwaliwa na waasi wa kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda ...