SERIKALI imeridhia hoja ya kuongeza muda wa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ambaye atajifungua mtoto njiti kwa kujumuisha na muda uliobaki kufikia wiki 40 za ujauzito huku baba akipewa siku saba za mapu ...
KIPUTE cha El Clasico huenda kikahamishiwa Uwanja wa Wembley baada ya Barcelona kushindwa kukamilisha maboresho ya uwanja wao wa Nou Camp ambao utagharimu Pauni 1.25 bilioni.
Watanzania ambao hawatakuwa wamepata pasipoti za kielektroniki kufikia mwisho wa mwezi huu hawataruhusiwa kusafiri nje ya nchi. Kulingana na taarifa iliotolewa na msemaji wa idara ya uhamiaji Ally ...