SERIKALI imeridhia hoja ya kuongeza muda wa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ambaye atajifungua mtoto njiti kwa kujumuisha na muda uliobaki kufikia wiki 40 za ujauzito huku baba akipewa siku saba za mapu ...
DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru mmiliki wa Hospitali ya Salamaan, Dk Abdi Warsame ,60, kulipa kiasi cha Sh milioni 24.8 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuisababishia ...
Baada ya Nipashe kutoa ripoti ya uchunguzi iliyoonesha ni kwa namna gani hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani ilivyokithiri mkoani Kigoma. Jeshi la polisi mkoani humo limewashikilia askari ...
KIPUTE cha El Clasico huenda kikahamishiwa Uwanja wa Wembley baada ya Barcelona kushindwa kukamilisha maboresho ya uwanja wao wa Nou Camp ambao utagharimu Pauni 1.25 bilioni.
NGOJA tuone leo itakuwaje pale ambapo Tabora United, vijana wa kocha Anicet Kiazayidi watakapokuwa wenyeji wa Simba inayonolewa na Fadlu Davids katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ...