资讯
Kuna barua zinazunguka kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha mawasiliano kati ya ofisi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ...
TAARIFA zinabainisha kuwa, JKT Tanzania imefanikiwa kunasa saini ya kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kwa kumpatia ...
KINDA wa Barcelona, Lamine Yamal ameripotiwa kufanyiwa uchunguzi na mamlaka za usalama baada ya kuripotiwa kuajiri mbilikimo ...
ARSENAL inatarajiwa kuwasiliana na Crystal Palace kujadili iwapo inaweza kukubali ofa yao ya kumsajili winga wa timu hiyo na ...
KOCHA Louis van Gaal amefichua ameshinda vita ya kumbana na maradhi ya saratani baada ya kudai sasa hana tena tezi dume.
KAMISHINA wa ufundi na mashindano wa shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini (TBF), Daniel Patrick amesema nidhamu ndiyo ...
BAADA ya Fountain Gate kuponea chupuchupu kushuka daraja, Rais wa klabu hiyo, Japhet Makau amesema msimu ujao wapinzani wao ...
STEIN Warriors na Tausi Royals zimeonyesha makali katika Ligi ya Kikapu Dar es Salaam kwa kuibuka na ushindi katika michezo ...
KOCHA mpya wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi inaelezwa kushikilia hatma ya mshambuliaji wa kimataifa kutoka Niger, ...
NI miezi saba sasa tangu Hamisa Mobetto na Stephane Aziz Ki wafunge ndoa. Baada ya hapo, nyota huyo wa zamani wa Yanga ...
TIMU ya Kajengwa FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wapinzani wao Mborimborini FC katika mashindano ya Yamle Yamle ...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji 'MO' amesema klabu hiyo itarudi kwa nguvu msimu ujao, huku ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果