资讯

Homa ya nyani (Mpox), ugonjwa wa kuambukiza unaoendelea hivi sasa Afrika ya Kati, unaendelea kuenea, hasa katika mkoa wa Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Clade 1B - jina ...
Nyani mmoja katika jimbo la Himachal Pradesh Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa taslimu kutoka mtini. Taarifa zinasema kuwa watu waliokuwa wanajivinjari katika mji wa Shimla jimboni humo, ...
Mtandao wa Wikipidia umekataa kufuta picha ambayo Nyani ilijipiga ikisema kuwa kwa sababu picha hiyo ilipigwa na Nyani ambaye ni mnyama wala sio binadamu, basi inakuwa mali ya umma. Hii ni baada ...
16.08.2024 16 Agosti 2024. Shirika la Afya Duniani WHO leo limeitisha mkutano utakaojadili njia za kuhakikisha mgawanyo sawa wa vipimo, matibabu na chanjo za ugonjwa wa homa ya nyani,mpox.
Takriban nyani 138 wamepatikana wamekufa katika siku za hivi karibuni katika jimbo la Tabasco nchini Mexico huku taifa hilo likikumbwa na wimbi la joto kali. Inatokea sasa hivi.
Hadi kufikia sasa visa 5,000 vya homa ya nyani vimeripotiwa katika nchi 51 duniani kote kulingana na kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa cha Marekani. Asilimia 90 ya visa hivyo duniani ...