资讯

Nyani mmoja katika jimbo la Himachal Pradesh Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa halisi.Katoa wapi pesa hizo?
Kijiji cha Lavul katika eneo la Maharashtra nchini India kimegonga vichwa vya habari kitaifa na kimataifa kwa wiki moja. Kilichozua gumzo hilo ni mzozo kati ya nyani na mbwa.
Homa ya nyani (Mpox), ugonjwa wa kuambukiza unaoendelea hivi sasa Afrika ya Kati, unaendelea kuenea, hasa katika mkoa wa Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Clade 1B - jina ...
Takriban nyani 138 wamepatikana wamekufa katika siku za hivi karibuni katika jimbo la Tabasco nchini Mexico huku taifa hilo likikumbwa na wimbi la joto kali.
Mkurugenzi wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameitangaza Mpox kuwa ni dharura ya afya ya umma duniani kutokana na kuongezeka kwa maambukizi yake barani Afrika.
Shirika la Afya Duniani WHO leo limeitisha mkutano utakaojadili njia za kuhakikisha mgawanyo sawa wa vipimo, matibabu na chanjo za ugonjwa wa homa ya nyani,mpox.